mtoto wa Beyonce na Jay Z kutambulisha manukato na dawa za nywele zenye jina lake.


Akiwa na umri wa miaka mitano, mtoto wa Beyonce na Jay Z#BlueIvyCarter anategemea kutambulisha rasmi manukato na dawa za nywele zenye jina lake.
Kampuni ya Beyonce imesajili bidha za mtoto huyo kwa jina la #BabyBlue na baada bidha nyingine kama nguo, simu na michezo zinakuja kutoka kwake.
Hivi karibuni Beyonce na Jay Z walitangaza kuwa wanategemea kupata watoto mapacha.
mtoto wa Beyonce na Jay Z kutambulisha manukato na dawa za nywele zenye jina lake. mtoto wa Beyonce na Jay Z kutambulisha manukato na dawa za nywele zenye jina lake. Reviewed by Unknown on 09:15:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.