Baada ya kumpiga ngumi askari,hii ndio adhabu aliyopewa rapa The Game….


The Game amepata adhabu ya kosa alilofanya mwaka 2015 la kumpiga ngumi ya uso askari wakati wa mpira wa kikapu mjini Los Angeles.
The Game amekwepa adhabu ya kifungo cha siku 120 kwa kukubali kosa na kuamrishwa kufanya kazi za jamii siku 120 ,kuhudhuria darasa la hasira mara 26na kuwa chini ya uangalizi kwa miaka mitatu.
December 2015 askari Onyebuchi Awaji,alifungua kesi ya madai dhidi ya The Game akitaka kulipwa dola $100,000 na kushinda kesi hio sababu The Game hakuwepo mahakamani.
Baada ya kumpiga ngumi askari,hii ndio adhabu aliyopewa rapa The Game…. Baada ya kumpiga ngumi askari,hii ndio adhabu aliyopewa rapa The Game…. Reviewed by Unknown on 22:12:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.