Mtoto wa 50 Cent asema anamkubali Ja Rule zaidi kuliko…..


Akielekea kutoka Mixtape yake mpya mtoto wa kiume wa rapa 50 Cent Marquise Jackson ’20’ ameongelea msanii gani anamuamini zaidi na amekuwa akimsikiliza kwa muda mrefu.
Marquise Jackson anasema amekuwa akiwasikiliza wasanii kama DrakeLil WayneBryson Tiller ila misingi yake haswa imeanza wakati anamsikiliza Ja Rule ndio msanii wa kwanza kuimba na kurap kwa wakati mmoja, aliimba vitu ambavyo tunaona kwa sasa na ambavyo havipo kwenye vitabu vya historia
Feb 6 ilikuwa siku ambayo album ya Get Rich or Die Tryin inatimiza miaka 14 naMarquise Jackson akatoa wimbo wa kwanza kutoka kwenye mixtape yake iliyopewa jina ‘Escape‘.
Mtoto wa 50 Cent asema anamkubali Ja Rule zaidi kuliko….. Mtoto wa 50 Cent asema anamkubali Ja Rule zaidi kuliko….. Reviewed by Unknown on 22:14:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.