Beef ya Jay Z na Drake inaendelea….Full Stori…..



Hottest hiphop beef kati ya Jay Z na Drake inaendelea kwenye rekodi mpya ya DJ Khaled ,Jay Z na Beyoncé ‘Shining’ kutoka kwenye album mpya ya Khaled #Grateful.
Mashairi ya Jay Z yanasema “I know y’all ain’t talkin’ numbers, right?,I know y’all ain’t talkin’ summers, right? / I know you ain’t walkin’ ’round talkin’ down / Sayin’ boss shit when you a runner, right?”
Maneno hayo ni jibu la diss aliyotoa Drake kwenye wimbo wake wa  “Summer Sixteen” aliposema kuhusu Jay Z kuwepo kwanza kwenye Roc A Fella kabla ya kuwa na lebo yake ya Roc Nation il  sasa sababu anapesa ana waonea wasanii wachanga.
Jay Z alijibu mstari huo kwenye wimbo wa Dj Khaled “I Got the Keys.” kwa kusema “‘Til you own your own you can’t be free, Til you’re on your own, you can’t be me.” kitu ambacho kilipelekea Drake kuongeza nguvu kwenye lebo yake ya OVO na kumsajili 21 Savage.
Drake akajibu mstari huo kwenye wimbo wa 21 Savage “Sneakin’,” kwa kusema “You ain’t own it right away, you had to wait on ni**as, Man, I’m only 29, have some patience with us.
Na sasa Jay Z kajibu tena kwenye “Shining” nakusema “21 Grammys, I’m a savage ni**a, 21 Grammys, I’m a savage ni**a / I shouldn’t even worry, backwards ni**as / 12 solo albums, all platinum, ni**a.
Jay Z na Drake waliwahi kusikika kwenye nyimbo kama “Light Up,” “Pound Cake / Paris Morton Music 2,” na “Know Bout Me.”
Beef itakuwa na muendelezo ikiwa Drake anaelekea kutoa album mpya More Life na Jay z pia anarekodi kwa siri album mpya ambayo itakuwa ya kwanza toka mwaka 2013 alipotoa Magna Carta Holy Grail.
Beef ya Jay Z na Drake inaendelea….Full Stori….. Beef ya Jay Z na Drake inaendelea….Full Stori….. Reviewed by Unknown on 04:07:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.