ANGALIA PICHA YA MTUMIAJI WA FACEBOOK MWENYE UMRI MKUBWA KULIKO WOTE


Inaaminika kuwa  Ms Maria Seguar-Metzgar Pichani mwenye umri wa miaka 105 yawezekana ndo mtumiaji wa Facebook mwenye umri mkubwa kuliko wote Duniani.Ms Maria alisherehekea siku yake ya kuzaliwa wiki iliyopita ya kutimiza miaka 105, huku akiwa na marafiki 86 kwenye Facebook
ANGALIA PICHA YA MTUMIAJI WA FACEBOOK MWENYE UMRI MKUBWA KULIKO WOTE ANGALIA PICHA YA MTUMIAJI WA FACEBOOK MWENYE UMRI MKUBWA KULIKO WOTE Reviewed by Unknown on 10:52:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.