HAWA NI MASTAA WA US WATAKAOHAMA NCHI KAMA DONALD TRUMP AKISHINDA URAIS

 
Orodha kubwa ya mastaa wa Marekani imeapa kuihama nchi hiyo iwapo Donald Trump atashinda uchaguzi na kuwa rais.
Iwapo mgombea huyo wa chama cha Republican akishinda, mastaa kama Jon Stewart, Cher, Barbra Streisand, Samuel L. Jackson, Chelsea Handler na Lena Dunham wamesema watahamia Canada au nchi zingine duniani, lakini sio 
kuwa chini ya uongozi wa bilionea huyo mwenye mdomo mchafu.
“If he were elected, I’m moving to Jupiter,” aliandika muimbaji mkongwe, Cher.Kwa upande wake muigizaji mkombwe, Jackson alisema, “If that motherf- -ker becomes president, I will move my black ass to South Africa.”
Hata hivyo wapo mastaa ambao awali waliwahi kutoa ahadi kaka hizo wakazivunja pindi George W. Bush alipoingia White House mwaka 2000
HAWA NI MASTAA WA US WATAKAOHAMA NCHI KAMA DONALD TRUMP AKISHINDA URAIS HAWA NI MASTAA WA US WATAKAOHAMA NCHI KAMA DONALD TRUMP AKISHINDA URAIS Reviewed by Unknown on 10:48:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.