Kweli Pesa Inatakatisha, Huu Ndio Muonekano wa Sasa wa STEVE YANGA (Shabiki wa Yanga wa Kulia lia)


Kweli Pesa Inatakatisha, Huu Ndio Muonekano wa Sasa wa STEVE YANGA (Shabiki wa Yanga wa Kulia lia)
Huyu kijana alijizolea umaarufu miaka ya nyuma kutokana na tabia yake ya kulia lia sana pale timu yake ya Yanga ilipokuwa ikipokea kichapo alikuwa anashindwa kabisa kujizuia vile vile alihangaika kushiriki kwenye mashindano ya bongo star search lakini hakupata nafasi.



Hii picha kipindi analia baada ya yanga kupokea kichapo
hapa kipindi anatafuta nafasi Bongo  Star Search
 Hapa kipindi anatafuta nafasi Bongo  Star Search


Huu sasa ndio muonekano wa sasa baada ya kula kitengo pale AZAM na yanga kawahama kabisa

NB:jamaa mwanzoni alionekana kama kituko sasa hivi kala kitengo hata harmorapa akiendeleza janja janja za kiki atatusua tu siku moja.
Kweli Pesa Inatakatisha, Huu Ndio Muonekano wa Sasa wa STEVE YANGA (Shabiki wa Yanga wa Kulia lia) Kweli Pesa Inatakatisha, Huu Ndio Muonekano wa Sasa wa STEVE YANGA (Shabiki wa Yanga wa Kulia lia) Reviewed by Unknown on 22:33:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.