Picha,Mapenzi moto moto kati ya Ciara na hubby wake Russell Wilson


#Trending kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii mbele ni picha za staa wa Rnb Ciara na mume wake Russell Wilson wakiwa nje kwaajili ya matembezi usiku wa jumamosi hii.
Ciara anategemea kupata mtoto wa pili na wa kwanza na Russell ambaye amekuwa akiongelewa kama mume bora kwa staa huyu tofauti na mchumba wake wa zamani Future ambaye walipata mtoto mmoja.
Picha,Mapenzi moto moto kati ya Ciara na hubby wake Russell Wilson Picha,Mapenzi moto moto kati ya Ciara na hubby wake Russell Wilson Reviewed by Unknown on 04:12:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.