MSANII HARMONIZE KUSHUSHA MJENGO HUU KARIBUNI


Mwanamuziki Harmonize aliyoko chini ya lebo ya Muziki ya WCB Ameweka picha katika mtandao wake wa Instagram akionyesha kiwanja alichonunua na ramani ya mjengo wa Gorofa anaopanga kuujenga hivi karibuni....
Pichani akiwa na mama yake na madalali wa kiwanja hicho..
MSANII HARMONIZE KUSHUSHA MJENGO HUU KARIBUNI MSANII HARMONIZE KUSHUSHA MJENGO HUU KARIBUNI Reviewed by Unknown on 07:16:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.