50 Cent aiponda filamu ya maisha ya Tupac ‘All Eyez on Me’ alichoandika kiko hapa…
Filamu ya maisha ya msanii wa hiphop 2 Pac ‘All Ayez On Me’ imetoka na tayari pamekuwa na mrejesho mbaya kutoka kwa watu maarufu waliotazama filamu hii.
Filamu hii iliyoigizwa na Demetrius Shipp Jr. kama 2 Pac imeanza kuonyeshwa June 16, 2017 na rapa 50 Cent anasema sio filamu bora kabisa.
50 Cent aliandika instagram “Man I watched the 2 PAC film, that was some bullshit. Catch that shit on a fire stick trust me. LOL SMH TRASH”
50 Cent aiponda filamu ya maisha ya Tupac ‘All Eyez on Me’ alichoandika kiko hapa…
Reviewed by Unknown
on
05:11:00
Rating:
Hakuna maoni: