Jada Pinkett-Smith akosoa vikali filamu ya All Eyez on Me, ilivyoonyesha mahusiano yake na 2 Pac….
Aliyekuwa rafiki wa karibu na Tupac Shakur, Jada Pinkett-Smith, amesema kilichoiizwa kwenye filamu ya All Eyez on Me sio kilichotokea kati yake na rapa huyo.
Jada alianza kwa kusema “Nisamehe, mahusiano yangu na Tupac yalikuwa na thamani sana tofauti na kilichoonyeshwa kwenye filamu ya All Eyez On Me, Inaumiza sana walivyoigiza mahusiano yangu na 2 Pac”
Jada aliendelea kusema baadhi ya mambo yaliyoko kwenye filamu hii hayajawahi kutokea, ‘2 Pac hajawahi kunisomea shairi hilo, sijawahi kwenda kwenye show zake sababu kaniomba na sijawahi kugombana naye nyuma ya jukwa’….
Jada Pinkett-Smith amesema kukosoa kwake filamu hii sio kukosoa kipaji cha mwigizaji Demetrius Shipp Jr. naKat Graham,
Video,Amber Lulu amkataa Shilole, atoa kauli ya mwisho kuhusu Mahusiano na Young Dee, je kweli kalala na Prezzo…
Jada Pinkett-Smith akosoa vikali filamu ya All Eyez on Me, ilivyoonyesha mahusiano yake na 2 Pac….
Reviewed by Unknown
on
05:08:00
Rating:
Hakuna maoni: