Rapa kutoka Queens New York 50 Cent anaendelea kupewa ushirikiano mkubwa na mashabiki wake baada ya rekodi yake ya ā€œIā€™m The Manā€ kupewa cheti cha mauzo ya zaidi ya laki tano , GOLD CERTIFICATE.
Toka kutoka kwake kwenye mixtape ya The Kanan Tape wimbo huu umetajwa kufikia kiwango hichi cha mauzo October 21 2016.
ā€œIā€™m The Manā€  ilifanyiwa remix na rnb staa Chris Brown. Mara ya mwishi 50 Cent kuwa na rekodi ya GOLD ilikuwa kwenye wimbo wa ā€œI Get Money,ā€ February 17, 2012