Huto amini kiasi cha pesa anachodaiwa Rick Ross kutokana na kukwepa kodi.


Wasanii wamekuwa sehemu kubwa ya kuchangia uchumi na maendeleo ya nchi zao na kulipa kodi kutokana na mapato ya kazi zao ni miongoni mwa mambo wanayofanya kufanikisha jambo hilo.
Rapa mkubwa nchini Marekani Rick Ross ametajw akuwa staa mwingine mkubwa anayedaiwa zaidi ya dola milioni tano za kimarekani kutokana na kutolipa kodi zake toka mwaka 2012.
Kwa miaka mitatu Rick Ross amekwepa kulipa kodi na anadaiwa dola milioni $5.7 za toka mwaka 2012 mpaka 2014 ambazo ni kama 10,905,250,000 za Tanzania.
Rick Ross akiendelea kuchelewa kulipa pesa hizo atapoteza mali zake nyingi.
Huto amini kiasi cha pesa anachodaiwa Rick Ross kutokana na kukwepa kodi. Huto amini kiasi cha pesa anachodaiwa Rick Ross kutokana na kukwepa kodi. Reviewed by Unknown on 22:16:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.