Brad Pitt na Angelina Jolie hawana maelewano mazuri baada ya kutengana,wanagombania watoto.
Awali iliripotiwa kuwa waigizaji wakubwa duniani Brad Pitt na Angelina Joliehawana matatizo kuhusu nani ataka na watoto wao baada ya kutengana ila taarifa hizi zimegundulika kuwa sio kweli.
TMZ imeripoti kuwa Brad Pitt amesha wakilisha nyaraka zake kuhusu kupinga kwa Angelina kuwa na haki za kuishi na watoto hao sita na yeye awe anasalimia tu na kuondoka.
Kesi yao itaanza kusikilizwa mwaka huu kama hawata kubaliana kuhusu malezi ya watoto wao.
Jolie na Pitt wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka miwili na mahusiano yao yalidumu kwa miaka 12 baada ya kukutana kwenye filamu ya “Mr. & Mrs. Smith mwaka 2005.
Brad Pitt na Angelina Jolie hawana maelewano mazuri baada ya kutengana,wanagombania watoto.
Reviewed by Unknown
on
22:14:00
Rating:
Hakuna maoni: