Picha,Lady Gaga hana tatizo na mashabiki kuchezea mwili wake akiwa kwenye show.
Pop staa Lady Gaga ambaye kwa sasa yupo kwenye ziara tofauti akitangaza album yake mpya ameonekana kuto kerwa na mashabiki kushika na kuchezea sehemu nyeti za mwili wake kama makalio yake akiwa kwenye show.
Mashabiki a Gaga walionekana wakimbeba na kumshika msanii huyu kwenye show yake wiki iliyopita huku yeye akionekana mwenye furaha kwa jambo hilo.
Gaga alikuwa anafanya show kwenye ukumbi wa The Satellite mjini L.A.
Picha,Lady Gaga hana tatizo na mashabiki kuchezea mwili wake akiwa kwenye show.
Reviewed by Unknown
on
10:10:00
Rating:
Hakuna maoni: