Picha,Rais Barack Obama awataja wasanii watano wa HIPHOP anaowakubali zaidi.
Rais wa Marekani Barack Obama ametaja wasanii watano wa HIPHOP anaowakubali zaidi kwa sasa Nchini Marekani.
Kupitia kipindi cha Sway In The Morning, amewataja Jay Z, Chance The Rapper, Kendrick Lamar, Drake na Kanye West.
Obama pia amesema alimjua Chance The Rapper akiwa na miaka nane tu na kwamba bado Jay Z ni Mfalme wa Hiphop.
Picha,Rais Barack Obama awataja wasanii watano wa HIPHOP anaowakubali zaidi.
Reviewed by Unknown
on
10:11:00
Rating:
Hakuna maoni: