Kanye West alivyohusika kusuka diss ya Drake kwa Kid Cudi na Pusha T.
Baada ya cover la wimbo wa Drake “Two Birds, One Stone” kutoka imefahamika kuwa Kanye West alihusiku kwa asilimia kubwa kwenye kusuka mashairi ya Drake kwenye wimbo wa “Two Birds, One Stone” ambao ni disskwa Kid Cudi na Pusha T.
Fahamu kuwa Pusha ndio rais wa lebo ya Kanye ya G.O.O.D. Music.
Hili ndio kava la Credits la wimbo wa Drake.
Kanye West alivyohusika kusuka diss ya Drake kwa Kid Cudi na Pusha T.
Reviewed by Unknown
on
10:08:00
Rating:
Hakuna maoni: