Picha,Aliyeharibu vibaya nyota ya Donald Trump ya Walk of Fame kushtakiwa.
Polisi wa mjini LA wamesema mtuhumiwa aliyeharibu nyota ya #HollywoodWalkOfFame ya Donald Trump atafunguliwa mashtaka.
Polisi wanasema ni vizuri mwanasheria wa serikali akamfungulia mashtaka jamaa huyu anayefahamika kama James Otis kwa kuvunja nyota ya #HollywoodWalkOfFame ya Donald Trump .
Otis anasema uharibifu huo aliofanya kama njia ya kupinga kampeni ya Trump. Otis anaweza kufungwa miaka mitatu jela kama atakutwa na hatia.
Picha,Aliyeharibu vibaya nyota ya Donald Trump ya Walk of Fame kushtakiwa.
Reviewed by Unknown
on
10:13:00
Rating:
Hakuna maoni: