Suge Knight amburuza mahakamani Dr Dre, ni kesi ya njama za mauwaji….

Producer mkongwe duniani Dr. Dre amejikuta akikabiliana na kesi ya kupanga njama za mauwaji na producer na mdau mkubwa wa muziki duniani Suge Knight,
Suge Knight anasema alikuwa na mkataba wa kusimamia kazi za Dr Dre wa maisha na kuna kiasi alibidi alipwe kutoka kwenye mapato ya Beats By Dre.
Suge anasema mkataba huu unamtaka Dr Dre ampe asilimia 30% ya mapato ya burudani kutoka kwa Dr Dre.
Dre alimlipa muuwaji ili afanye kazi yake kwenye club ya 1 OAK wakati wa tuzo za VMA mwaka 2014, Suge alipigwa risasi mara 7 tumboni.
Polisi walimhoji mtu anayefahamika kama T-Money na aliwaaambia wapelelezi kuwa alilipwa na Dr Dre kumuuwa Suge. Suge anasema palikuwa na camera 37 kwenye 1 OAK, ila hakuna aliyekamatwa.
Suge amefungua kesi dhidi ya Dre, Apple, Universal na Tam akidai malipo ambayo hayaja tajwa, pia Suge anataka asilimia 30 ya faida kutoka Beats By Dre.
Dr Dre kwa sasa anamiliki zaidi ya dola bilioni moja na Suge anataka dola milioni 300
Suge Knight amburuza mahakamani Dr Dre, ni kesi ya njama za mauwaji…. Suge Knight amburuza mahakamani Dr Dre, ni kesi ya njama za mauwaji…. Reviewed by Unknown on 10:11:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.