Makonda kula sahani moja na makundi ya uhalifu Dar
Ameyasema hayo Alhamisi hii katika chuo kikuu cha Dar es Salaam wakati akitoa salamu za Rais John Magufuli katika uzinduzi wa hosteli mpya za chuo hicho.
Makonda alisema kuwa ofisi yake itaanza oparesheni hiyo kuondoa magenge ya wahalifu jijini kwakuwa ni changamoto inayoukabili mkoa huo kwa sasa.
Makonda kula sahani moja na makundi ya uhalifu Dar
Reviewed by Unknown
on
07:20:00
Rating:
Hakuna maoni: