Kuhusu shambulio la kigaidi kwenye show ya Ariana Grande mjini Manchester,watu waliofariki…..


Jumatatu ya tarehe 22 May 2017, watu 22 wamefariki dunia kwenye show ya muziki ya msanii Ariana Grande ya “Dangerous Woman” iliyofanyika Manchester Arena mjini Manchester, Uingereza.
CNN wameripoti kuwa watu zaidi ya 54 wamejeruhiwa baada ya mlipuko wa bumo uliotokea kwenye ukumbi wa show hio wenye uwezo wa kujaza watu 21,000.
Ariana aliandika twitter “broken. from the bottom of my heart, i am so so sorry. i don’t have words.
Twit ya Nicki Minaj ilisema “My heart hurts for my sister, Ariana & every family affected by this tragic event in the U.K. Innocent lives lost. I’m so sorry to hear this.
Waziri mkuu wa Uingereza, Theresa May ametaja tukio hili kama kitendo cha kigaidi ambapo ni mara ya kwanza linatokea tangu lile la mwezi Julai mwaka 2005 ambapo zaidi ya watu 50 walifariki dunia mjini London.
     
Kuhusu shambulio la kigaidi kwenye show ya Ariana Grande mjini Manchester,watu waliofariki….. Kuhusu shambulio la kigaidi kwenye show ya Ariana Grande mjini Manchester,watu waliofariki….. Reviewed by Unknown on 06:48:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.