Will Smith kuigiza kama HitMan kwenye filamu mpya,Gemini Man.
Mwigizaji Will Smith yupo kwenye mazungumzo ya kusajiliwa kuigiza kama adui na HitMan kwenye filamu mpya ya Gemini Man.
Filamu hii itaongozwa na mshindi wa tuzo ya Oscar Ang Lee aliyetauarisha filamu kama Crouching Tiger, Hidden Dragon na Brokeback Mountain.
Jerry Bruckheimer aliyeongoza filamu kama Bad Boys na Enemy of the State za Will Smith naye pia atahusika kwenye filamu hii.
Gemini Man ni filamu inayohusu muuwaji atakaye pambana na muwaji mwingine wa kizazi kipya.
Will Smith kuigiza kama HitMan kwenye filamu mpya,Gemini Man.
Reviewed by Unknown
on
00:32:00
Rating:
Hakuna maoni: