Nikki Wa Pili azungumzia kauli ya Lord Eyes kuwa Weusi ni Wabinafsi….


Kwenye #FridayNiteLive na #Sammisago mzungumzaji wa kundil Weusi #NikkiWaPili ameongelea kauli ya Lord Eyes kuwa wasanii wa kundi hilo i wabinafsi ndio maana ameshindwa kuendelea kufanya nao kazi.
Nikki amesema “Hio sio kweli na kwamba kama wasanii wa kundi hupeana ushirikiano kwenye kazi na issue zingine, na mtu wa kulalamika kama hivyo ni Bonta ambaye amekuwa nje ya kundi kwa muda kidogo ila sio Lord
#Sammisago -Je kuna masharti yoyote kawekewa Lord Eyes kama anataka kufanya kazi kwenye kundi la Weusi ?
Jibu la #NikkiWaPili – Ndio, kuna ABC amepewa afanye na kama atafanikiwa basi hakuna shida tutaendelea na kazi, hizo ABC siwezi kusema sababu ni siri za kampuni…. 
Je Lord Eyes bado anatumia dawa za kulevya ndio maana bado yupo bechi Weusi ?….Tutafuatilia zaidi
Nikki Wa Pili azungumzia kauli ya Lord Eyes kuwa Weusi ni Wabinafsi…. Nikki Wa Pili azungumzia kauli ya Lord Eyes kuwa Weusi ni Wabinafsi…. Reviewed by Unknown on 00:35:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.