Rasmi...Dj Majizzo na Bosi wa Radio ya EFM Amekamatwa na Polisi kwa Tuhuma za Madawa ya Kulevya,Makonda Amethibitisha..!!!
Kwenye mkutano kati ya RC Makonda na waandishi wa habari aliulizwa swali kama ni kweli Majizzo(C.E.O wa E-FM/TV-E)? Mh Makonda alijibu ni kweli anashikiliwa kwa mahojiano.
Taarifa ni kwamba Dj Majizzo alikamatwa juzi nyumbani kwake na kupekwa kituo cha kati kwa mahojiano.
Kwa wale wasio mfahamu vyema Majizzo ni yule kijana anaye miliki kituo cha E Fm cha Jijini Dar Es Salaam
Rasmi...Dj Majizzo na Bosi wa Radio ya EFM Amekamatwa na Polisi kwa Tuhuma za Madawa ya Kulevya,Makonda Amethibitisha..!!!
Reviewed by Unknown
on
09:53:00
Rating:
Hakuna maoni: