SHUHUDIA HUYU MTANZANIA ANAYESADIKIWA KUWA NI "SHOGA" ALIVYOKAMATWA UWANJA WA NDEGE DAR!!

NA MWANDISHI WETU

Kutoka Instagram "BintiKajuta| anaripoti kwamba Mtanzania mwenye Passport ya Uingereza kwa jina la Farid Juma Janmohammed
ambaye kwa sasa amebadili jina anajiita Fuad Jamal amekuwa akishikiliwa na Jeshi la Polisi kituo cha Central toka Jumapili alipokamatwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere akijitayarisha kuondoka kuelekea London/UK. Inasemekana Farid au Fuad alitishia kumuua Mama yake mzazi pamoja na dada zake wanaoishi hapa Mjini Dar ikiwa ni hasira za kutaka kurithishwa nyumba ya Mama yake huku akiwa bado yupo hai. Habari zaidi zinasema Farid ni muumini namba moja wa Mahusiano ya Jinsia moja n huenda huko UK ameolewa na Mwanaume kama yeye na kwamba hata alipokuwa akikamatwa Uwanja wa Ndege kuna Mzungu mmoja mzee wa kiume anayesemakana kuwa naye na kumkimbia baada ya kuona seke seke la kumkamata likiendelea na askari Polisi. Mtuhumiwa huyo anayedaiwa kumtukana matusi ya ajabu sana Mama yake mzazi ambayo Blogu hii inayo na inayahifadhi kwa sababu ya uzito wa maneno yaliyotumika ambayo hayafai kabisa kusikilizwa na binadam hasa watoto wadogo.

Mkasa huu unasimuliwa kuanza pale Familia hiyo ya Farid ilipoanza kumtenga kutokana na madai ya tabia zake za mahusiano ya jinsia moja ndipo alipoamua kuanza kudai urithi wake kabla hata Mama yake mzazi ambaye ndiye mmiliki wa mali hizo kufariki. Wakizungumza na Blogu hii wananchi mbali mbali waliokuwepo Uwanja wa Ndege wakati Farid akikamatwa walisema walishangaa kuona Babu mmoja mzungu akikimbia mbio hapo uwanjani baada ya Farid kukamatwa na Polisi. Hadi inaporipotiwa haditihi hii kuna habari za Farid kuwekewa dhamana leo hii huku kesi yake imesomeka kama ifuatavyo:-  CD/RB/12522/2016 CD/IR/4500/2016

Blogu ya Wananchi pia imefahamishwa kwamba Farid mwenye passport hii ya Uingereza, amekuwa na maisha yenye utata sana huko Uingereza mpaka kusadikiwa kuolewa ana Mwanaume mwenziwe Babu wa kizungu huko ambaye inasadikiwa walisafiri naye kuja hapa Tanzania na alikuwa naye pale Uwanjani wakati akikamatwa. Farid hakuhudhuria hata mazishi ya Marehemu Baba yake mzazi alipofariki miaka michache iliyopita huko nyuma akaamua kubaki Uingereza anakoishi na ambako pia ana uraia wa nchi hiyo. Blogu ya Wananchi inaendelea kufuatilia saga hili kuona mwisho wake ukoje hasa ukizingatia familia ya Farid inaishi kwa wasi wasi sana kutokana na vitisho vya Farid pamoja na matusi mengi yaliyorekodiwa kwenye kinasa sauti yalipotumwa kutokea kwenye simu yenye namba za Uingereza kama ifuatavyo namba +447551050025 yenye sauti ya Farid.

Farid akijinafasi Uwanja wa Ndege wa JKN kabla ya kukamatwa kwake Jumapili iliyopita.





CREDIT:Le Mutuz Blog
SHUHUDIA HUYU MTANZANIA ANAYESADIKIWA KUWA NI "SHOGA" ALIVYOKAMATWA UWANJA WA NDEGE DAR!! SHUHUDIA HUYU MTANZANIA ANAYESADIKIWA KUWA NI "SHOGA" ALIVYOKAMATWA UWANJA WA NDEGE DAR!! Reviewed by Unknown on 04:19:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.