Baada ya kuondoka Afrika Kusini rapa Mos Def atangaza album mpya.
Rapa Mmarekani aliyetimuliwa Afrika Kusini hivi karibuni Mos Def ametangaza ujio wa album mpya iliyopewa jina ‘December 99th’
Yasiin Bey anafahamika pia kwa jina la Mos Def na mwenzake Ferrari Sheppard walitayarisha album hii nchini Afrika Kusini na itatoka kwenye mtandao wa TIDAL mnamo Dec. 9. C
Rekodi ambazo zimeshatoka ni pamoja na “Local Time,” “Seaside Panic Room,” na “N.A.W.,”.
Rekodi ambazo zimeshatoka ni pamoja na “Local Time,” “Seaside Panic Room,” na “N.A.W.,”.
Baada ya kuondoka Afrika Kusini rapa Mos Def atangaza album mpya.
Reviewed by Unknown
on
06:35:00
Rating:
Hakuna maoni: