Video, Rihanna kwenye trailer ya filamu mpya ‘Valerian’ itazame hapa.

Rnb staa Rihanna ataonekana tena kwenye big screen baada ya kustaa kwenye filamu ya sc-fi mpya Valerian and the City of a Thousand Planets, akiwa na waigizaji wakubwa kama Cara Delevingne, Ethan Hawke, na John Goodman.
Valerian itaonekana kwenye majumba ya cinema July 2017 huku RiRi akifanya filamu nyingine  Ocean’s Eight, akiwa na Anne Hathaway, Sandra Bullock, Cate Blanchett.
rihanna-tush-magazine-rihanna-37550432-1440-900-1024x640
Rihanna aliwahi kuwepo kwenye filamu ya Battleship mwaka  2012 na Home.
Video, Rihanna kwenye trailer ya filamu mpya ‘Valerian’ itazame hapa. Video, Rihanna kwenye trailer ya filamu mpya ‘Valerian’ itazame hapa. Reviewed by Unknown on 05:26:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.