T.I. na Meek Mill wajichanganya na raia kwenye mandamano ya kupinga Donald Trump Kuwa Rais.

Ukiachan baadhi ya raia kuandamana kupinga Donald Trump kuchaguliwa kuwa rais, wasanii wakubwa wawili wameonekana mtaani wakiunga mkono maandamano hayo.
Rapa T.I. na Meek Mill walikuwa mtaani wakiunga mkono harakati za “Not My President” zinazoendelea Marekani kwa siku mbili mfululizo.
T.I alisema “This ain’t supposed to be how people react to the election of a president,This ain’t what we built up on, man. This ain’t what we about. This is some bullshit.” akimaanisha “Hizi sio hisia sawa za watu baada ya uchaguzi wa rais wao, sio kitu tulichojenga, sio mambo yetu haya
Watu waliokuwa karibu na T.I walikuwa wakisema Hillary Clinton kapata kura nyingi zaidi.
T.I. na Meek Mill wajichanganya na raia kwenye mandamano ya kupinga Donald Trump Kuwa Rais. T.I. na Meek Mill wajichanganya na raia kwenye mandamano ya kupinga Donald Trump Kuwa Rais. Reviewed by Unknown on 05:27:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.