Trailer,Hukuipenda filamu ya Batman vs Superman, sasa Marvel Studios wanakuletea Wonder Woman.

Baada ya kutopendwa kabisa kwa filamu ya Batman v Superman: Dawn of Justice sasa kampuni ya Warner Bros kupitia Marvel Studios wanakuletea filamu ya Super Hero mpya Wonder Woman!
Gal Gadot anaigiza kama Wonder Woman aliyekutanda na Pilot Chris Pine na kuunda timu iliyookoa dunia
Filamu ya Wonder Woman inatoka June 9, 2017.
Trailer,Hukuipenda filamu ya Batman vs Superman, sasa Marvel Studios wanakuletea Wonder Woman. Trailer,Hukuipenda filamu ya Batman vs Superman, sasa Marvel Studios wanakuletea Wonder Woman. Reviewed by Unknown on 11:05:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.