Samuel L. Jackson kawajibu wanaouliza lini anahamia Afrika Kusini,ni baada ya Donald Trump kuwa Rais.
Mwigizaji mkongwe Marekani Samuel L. Jackson ambaye alitoa December mwaka jana kuwa kama Donald Trump atashinda urais basi atahamia AFrika Kusini na sasa #Twitter inataka jibu la lini staa huyu ataondoka Marekani.
Mtandao wa twitter Afrika Kusini uliwaka moto kwa jina la Samuel L. Jackson mpaka lika #Trend huku wakitaka kujua anakuja lini nyumbani kwao.
Kupitia twit staa huyu ameandika “Kwanini kunashauku kubwa ya mimi kuondoka, nalipa kodi nyingi zaidi kuliko nyie wa tu wa Trump na hata huyo Donald Trump mwenyewe”
JE ATAONDOKA KWELI AU ALICHOSEMA ILIKUWA MKWARA TU ?….
Samuel L. Jackson kawajibu wanaouliza lini anahamia Afrika Kusini,ni baada ya Donald Trump kuwa Rais.
Reviewed by Unknown
on
09:15:00
Rating:
Hakuna maoni: