Picha,Diamond Platnumz na tuzo zake tatu za Afrima 2016
Diamond Platnumz ameibuka na ushindi mkubwa kwenye tuzo za Afrima 2016 zilizofanyika Lagos, Nigeria weekend hii.
Mtanzania Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya Song of The Year – Utanipenda, Best Artist/Duo/Song Of The Year Utanipenda na Best Male Artist in Eastern Africa.
Picha,Diamond Platnumz na tuzo zake tatu za Afrima 2016
Reviewed by Unknown
on
11:12:00
Rating:
Hakuna maoni: