Hii video ya wimbo wa Raymond ‘Sugu’ itazame hapa
Usajili wa pili wa WCB ulimkamata Raymond kutoka TipTop na amekuwa miongoni mwa vijana wakali kwenye kundi hilo ambao toka amesajiliwa amekuwa akitoa rekodi kali tu.
This Time ametoa kazi mpya “Sugu” ikiwa ni ushawishi mkubwa wa msanii Sugu na Wimbo wake wa miaka kadha iliyopita.
Kwenye video hii anaonekana pia Mh. Joseph Mbilinyi aka Sugu ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Mbeya Mj
Hii video ya wimbo wa Raymond ‘Sugu’ itazame hapa
Reviewed by Unknown
on
11:09:00
Rating:
Hakuna maoni: