Cristiano Ronaldo asema ana miaka 10 tena uwanjani.

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid ‘Cristiano Ronaldo‘ amesema bado analidai soka miaka 10 baada ya kutia wino kwenye mkataba wake mpya na timu yake ya Real Madrid.
Mkataba wa Cristiano Ronaldo’31’ na klabu hio utaisha June 2018 ila baada ya kuongeza mkataba jamaa atabaki Madrid mpaka June 2021.
Huu ni mkataba wa mwisho wa Ronaldo ambaye anampango wa kumalizia maisha yake ya soka kwenye klabu hio.
What I most want is to continue enjoying the years I have left to play. I still have 10 years,”
Ronaldo, ameifungia Real Madrid magoli 371 toka kujiunga na klabu hio kutoka Manchester United mwaka 2009
Cristiano Ronaldo asema ana miaka 10 tena uwanjani. Cristiano Ronaldo asema ana miaka 10 tena uwanjani. Reviewed by Unknown on 11:13:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.