MWANAMKE AUAWA KWA KUPIGWA MAWE, KISA KUTOKA I NJE YA NDOA!


Ripoti zinasema kuwa takriban watu 200 akiwemo gavana wa eneo hilo walishuhudia watu wakimpiga mawe mwanamke huyo kwenye mji wa Barowe. Mwanamke huyo wa umri wa miaka 30 alikuwa ameshutumiwa kwa kufanya mapenzi nje ya ndoa.
Wadadisi wanasema kuwa mauaji hayo ni ishara ya ushawishi wa kundi la Al shabaab hata baada ya kushambuliwa na serikali ya Somalia pamoja na vikosi vya muungano wa Afrika. 
Mji wa Barowe ambao uko umbali wa kiomita 200 kutoka mji mkuu Mogadishu umekuwa ngome ya Al Shabaab.
MWANAMKE AUAWA KWA KUPIGWA MAWE, KISA KUTOKA I NJE YA NDOA! MWANAMKE AUAWA KWA KUPIGWA MAWE, KISA KUTOKA I NJE YA NDOA! Reviewed by Unknown on 10:30:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.