HAMISA MOBETO ADAI YEYE NA ZARI HAWAJAWAHI KUWA MARAFIKI, ANYOOSHA MAELEZO KUMJUA KWAKE


Mrembo na Queen wa Video za Bongo Flava,
Hamisa Mobeto, amekanusha tetesi zinazoenea mitandaoni kuwa ana uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamuziki Diamond Platnumz.
Kupitia kipindi cha The Playlist cha Times Fm juzi Jumamosi, Hamisa amedai kuwa anamfahamu mpenzi wa Msanii huyo Zari kwa kuwa ni Mzazi mwenza wa Platnumz.“Unajua huwezi kusema mi na Zari tuko sawa au hatupo sawa kwa sababu hatujawahi kuwa marafiki na mi nimemjua kwa sababu ‘Kazaa’ na Bosi wangu (Diamond Platnumz).
The Only thing nimewahi kumuona Zari kwenye 40 ya Tiffah, We are not Friends We are not enemies, Diamond ni Bosi wangu aliwahi niajiri mimi kuandaa Birthday ya Mama yake.” Alisema.
Katika Hatua nyingine Hamisa alilazimika
kufunguka kwa Undani ukaribu wake na Familia ya Diamond akiwemo Mama yake kuliko hata Mama Tee, Zari The Bosslady.
“Unajua mpaka Mwanamke kuingia kwenye Nyumba ya Mwanamke mwingine, it means Babu na Bibi wameruhusu, mimi siwezi kujua wameongea nini kitu gani, ninacho jua nilipewa kazi na nikadeliver”alimalizia Hamisa Mobet
HAMISA MOBETO ADAI YEYE NA ZARI HAWAJAWAHI KUWA MARAFIKI, ANYOOSHA MAELEZO KUMJUA KWAKE HAMISA MOBETO ADAI YEYE NA ZARI HAWAJAWAHI KUWA MARAFIKI, ANYOOSHA MAELEZO KUMJUA KWAKE Reviewed by Unknown on 10:32:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.