Utafiti: Leo hii wanawake ni walevi sawa na wanaume

Wanawake wanakunywa pombe karibu sawa na wanaume, wataalam wanasema.

Utafiti mkubwa uliofanyika kwa zaidi ya miaka 100, umebaini kuwa ‘gap’ la kijinsia katika matumizi ya pombe limefutika. Leo hii, wasichana wanakunywa pombe katika kiwango sawa na wanaume.
0f8526e000000514-0-image-a-1_1477350181207
Utafiti huo wa dunia nzima uliochapishwa kwenye jarida la BMJ Open, umeonya kuwa wanawake wengi wanajiweka kwenye hatari ya kuathirika kiafya.

Utafiti: Leo hii wanawake ni walevi sawa na wanaume Utafiti: Leo hii wanawake ni walevi sawa na wanaume Reviewed by Unknown on 04:06:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.