MAJIBU YA ABOUBAKAR MZURI BAADA YA KUDAIWA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEicAYWPDtTS9wjXggpiT6FTvDzTv4M_GUT59LAeo7aL3mCk4noS0ga-W8wUvAxDii6HTrhIp79KCOz3r6DC5iRnWuU7zQp6NzP2vSN0KLzWnmrL2nJ7Yn2IrwL6-1GwmZz-tZiDfxvOm7Lx/s320/JJJ.jpg)
Aboubakar Mzuri amesema kuwa hakuna ukweli wa tukio hilo na kudai kuwa suala hilo limetengenezwa na watu ili kumchafulia tu sifa yake kwa jamii huku akikataa kujibu chochote kuhusu tukio hilo la fumanizi na mke wa mtu aliyetajwa kwa jina la Mjomba.
Hizo ni taarifa zenu ndio zinasema hivo, kwanza namba yangu umeipata wapi? Ulitakiwa kumuuliza QS Mhonda au kunipigia kwanza mimi ujue nini kilitokea sio kukurupuka na kusema vitu ambavyo hamjui vikoje. Mimi ni mtu maarufu mlitakiwa kunitafuta kwanza huenda nilivamiwa na majambazi je?:- Aboubakari
MAJIBU YA ABOUBAKAR MZURI BAADA YA KUDAIWA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU
Reviewed by Unknown
on
04:09:00
Rating:
![MAJIBU YA ABOUBAKAR MZURI BAADA YA KUDAIWA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEicAYWPDtTS9wjXggpiT6FTvDzTv4M_GUT59LAeo7aL3mCk4noS0ga-W8wUvAxDii6HTrhIp79KCOz3r6DC5iRnWuU7zQp6NzP2vSN0KLzWnmrL2nJ7Yn2IrwL6-1GwmZz-tZiDfxvOm7Lx/s72-c/JJJ.jpg)
Hakuna maoni: