VIDEO;Hakeem 5: Ali Kiba Ana Roho Mbaya, Siwezi Kumuomba Msamaha

Amesema yeye aliongea ukweli kuhusu Ali Kiba na ukweli sio lazima umfurahishe kila mtu.
Pia ameongezea Ali Kiba ana roho mbaya na hata kolabo alilofanya na Abby Skills ilitokea tu baada ya yeye Hakeem5 kuongea
VIDEO;Hakeem 5: Ali Kiba Ana Roho Mbaya, Siwezi Kumuomba Msamaha
Reviewed by Unknown
on
09:20:00
Rating:

Hakuna maoni: