Maelfu waandamana kupinga ushindi wa Trump


_maandamano


Kumekuwa na maandamano ya kupinga ushindi wa Donald Trump kutoka katika miji mbalimbali nchini Marekani.
Maelfu ya raia kwa sasa wamekusanyika nje ya mnara maarufu kama Trump Tower mjini New york wakipaza sauti zao kuhusu sera za uhamiaji,mapenzi ya jinsia moja na haki ya uzazi yanayopingwa na Donald Trump.
Wanasema hata dunia ina wasiwasi juu ya ushindi wa urais.
Maelfu waandamana kupinga ushindi wa Trump Maelfu waandamana kupinga ushindi wa Trump Reviewed by Unknown on 02:20:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.