Picha,Brad Pitt hadharani kwa mara ya kwanza toka ameachana na Angelina Jolie

Mwigizaji mkubwa Marekani Brad Pitt ’52’ ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza toka talaka yake na Angelina Jolie September mwaka huu,
Brad alikuwa akitangaza filamu yao mpya ya Moonlight akiwa na Julia Roberts mjini Los Angeles.
EXCLUSIVE - Julia Roberts and Exec. Producer Brad Pitt seen at A24's "MOONLIGHT" Screening hosted by Brad Pitt and Julia Roberts on Monday, November 08, 2016, in Los Angeles, CA. (Photo by Eric Charbonneau/Invision for A24/AP Images)
#StoriBy Melisa
Picha,Brad Pitt hadharani kwa mara ya kwanza toka ameachana na Angelina Jolie Picha,Brad Pitt hadharani kwa mara ya kwanza toka ameachana na Angelina Jolie Reviewed by Unknown on 02:17:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.