SAMATTA AANZA NA BAO KRC GENK ,TIMU YAKE IKIBANWA MBAVU LIGI KUU YA UBELGIJI


KRC Genk imepata sare ya mabao 3-3 ikiwa nyumbani dhidi ya wageni Waasland-Beveren.Mshambulizi Mtanzania, Mbwana Samatta amefunga bao la pili ambalo lilikuwa la kusawazisha.Wageni Waasland-Beveren walipata mabao mawili ya harakaharaka na kuongoza kwa 2-0.Lakini Genk ilisawazisha kupitia Naranjo kabla ya Samatta kufunga la pili na Leandro Trossard kufunga la tatu lakini wageni wakakomaa na kusawazisha katika dakika ya 90 kupitia Zinho Gano.

VIKOSI:
KRC Genk
Jackers – Nastić, Brabec, Colley, Khammas (63. Maehle) – S. Berge, Trossard, Malinovskyj (67. Naranjo) – Buffel (C), Samatta, Manuel (46. Schrijvers).
Waasland-Beveren
Goblet – Jans, Moren, Camacho, Demir – Seck (C), J. Cools – Myny (63. Boljević), Morioka, Opoku Ampomah (75. Cerigioni) – Gano.
SAMATTA AANZA NA BAO KRC GENK ,TIMU YAKE IKIBANWA MBAVU LIGI KUU YA UBELGIJI SAMATTA AANZA NA BAO KRC GENK ,TIMU YAKE IKIBANWA MBAVU LIGI KUU YA UBELGIJI Reviewed by Unknown on 22:18:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.