Picha, Mapacha wa JAY-Z na Beyonce watoka hospitalini, wapo kwenye hili jumba….
Tovuti ya TMZ imeripoti kuwa watoto mapacha wa Beyonce na Jay-Z wameruhusiwa kutoka hospitalini na tayari wamefikishwa kwenye jumba la kifahari huko Malibu.
Mapacha hawa walizaliwa kwenye hospitali ya UCLA Medical Center na kukaa kwa wiki moja na nusu kutokana na kuzaliwa mapema.
TMZ imeripoti kuwa mapacha hawa wapo na dada yao Blue Ivy na wazazi wao kwenye jumba linalolipiwa dola $400,000 kwa mwezi huko Malibu.
Picha, Mapacha wa JAY-Z na Beyonce watoka hospitalini, wapo kwenye hili jumba….
Reviewed by Unknown
on
00:54:00
Rating:
Hakuna maoni: