Itazame hapa video mpya ya Beyonce ‘All Night’ Jay Z yupo…
Rnb staa Beyoncé anaendelea kutoa nyimbo kutoka kwenye album yake ya LEMONADE , Wiki hii ametoa “All Night”.
Kwenye video hii anaonekana rapa Jay Z, Blue Ivy, Tina Lawson, Zendaya, Chloe x Halle, na wasanii wengine tofauti.
Itazame hapa video mpya ya Beyonce ‘All Night’ Jay Z yupo…
Reviewed by Unknown
on
06:40:00
Rating:
Hakuna maoni: