Wema Sepetu asema Calisah aliutamani umaarufu…..

Baada ya kusamba kwa video ya Wema Sepetu na Calisah wakipeana mabusu kitandani, Wema ametumia instagram yake kumchana Calisah kwa kuandika kuwa jamaa alikuwa anataka kiki kutoka kwake.
Post Za Wema zilisema “You were realy hungry for fame”


Wema Sepetu asema Calisah aliutamani umaarufu…..
 
        Reviewed by Unknown
        on 
        
20:20:00
 
        Rating: 
Hakuna maoni: