TOP TEN YA WASANII WAKIUME WANAOWAVUTIA ZAIDI WANAWAKE WAWAPO JUKWAAN
Jina lake kamili ni Nassib Abdul, huyu wengi wamempachika jina la sukari ya warembo, idadi kubwa ya wanawake wanampenda kutokana na mwonekano wake na pia uwezo wake mkubwa wa kucheza na sauti anapoimba ingawa wengi hudai hana sauti nzuri lakini huvutiwa na namna anavyoweza kuitumia sauti hiyo na kuwa kivutio katika nyimbo zake.Maonyesho yake hujaza watu wengi lakini inakadiriwa wasichana wengi hujitokeza katika matamasha ambayo hutangazwa kwamba msanii huyu atakuwepo, pia wengi wao hutamani kumshika msanii huyu ndiyo maana wengi wao hukimbilia kumtunza.









TOP TEN YA WASANII WAKIUME WANAOWAVUTIA ZAIDI WANAWAKE WAWAPO JUKWAAN
Reviewed by Unknown
on
23:43:00
Rating:

Hakuna maoni: