Sakata la Diva na Jokate Kidoti Kwa Alikiba Mapya Gigy money Afunguka

Mwanadada Diva aliweza ku tweet kuhusiana na uwezo wa alikiba katika kuimba na kumalizia kuwa “Girlfriend anakutia gundu” kitu ambacho wengi walijiuliza inamaana Jokate (Kama inavyo julikana kuwa ndiye wa Kiba) kuwa anamtia gundu?
Leo Mrembo Gigy_Money amejitokeaza na kupost picha hii hapa chini na kuandika maneno ya kumtetea Jokate:

“Honestly jojo wangu mtoto classic uyu 
wache waseme unagundu ila mwisho wa siku watakuelewa tu kwa mafanikio yako hadi unafikia umri wao yani we utakua Michael Jackson wa kike unajituma mwaya #USIFORCETUFANANE #HATUFANANI” Gigy Money
Sakata la Diva na Jokate Kidoti Kwa Alikiba Mapya Gigy money Afunguka
 
        Reviewed by Unknown
        on 
        
04:13:00
 
        Rating: 
 
        Reviewed by Unknown
        on 
        
04:13:00
 
        Rating: 
Hakuna maoni: