Picha,Brad Pitt hadharani kwa mara ya kwanza toka ameachana na Angelina Jolie

Mwigizaji mkubwa Marekani Brad Pitt ’52’ ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza toka talaka yake na Angelina Jolie September mwaka huu,
Brad alikuwa akitangaza filamu yao mpya ya Moonlight akiwa na Julia Roberts mjini Los Angeles.

#StoriBy Melisa
Picha,Brad Pitt hadharani kwa mara ya kwanza toka ameachana na Angelina Jolie
 
        Reviewed by Unknown
        on 
        
02:17:00
 
        Rating: 
Hakuna maoni: