ANGALIA PICHA MAFUNZO WANAYOPEWA WAHUDUMU WA NDEGE NCHINI CHINA
Hii imeripotiwa na mtandao wa Daily Mail ambapo nchini China wahudumu wa ndege wanaandaliwa kwa mafunzo makali ya kijeshi, mafunzo hayo yametolewa ili kuwaandaa pale dharura inapotokea kwenye anga. Baada ya kuhitimu mafunzo wamechaguliwa kuwa maofisa usalama wa anga mbali na majukumu yao mengine ya uhudumu ndani ya ndege.
.
.
.
.
.
.
.
.
ANGALIA PICHA MAFUNZO WANAYOPEWA WAHUDUMU WA NDEGE NCHINI CHINA
 
        Reviewed by Unknown
        on 
        
13:42:00
 
        Rating: 
Hakuna maoni: