NAMNA YA KUCHAGUA KUPATA MTOTO WAKIUME AU WAKIKE

 
Watu wengi wamekuwa wakiwabebesha mzigo wanawake juu ya kupata mtoto wa kike au wa kiume na wengine kufikia kuwaacha wake zao eti kwaajili anazaa jinsia moja wakifi
kiri kuwa swala la kuzaa aina fulani ya mtoto ni lamwanamke peke yake wakati sio kweli mwanaume pia anachangia,sasa leo ningependa tujifunze jinsi ya kuchagua jinsia japo kuwa tunaamini kuwa Mungu pia anachangia ktk hili lkn kama tukifuata utaratibu pia inaweza kutusaidia sana.Mwanaume anamwaga shahawa au spamu kati ya milion 200 hadi 400,ambapo ndani yake kuna chromozomu X na Y.Kila yai la mwanamke lina chromozomu mbili za X. wakati manii ya mwanamume au spemu (yana chromozomu X na Y) kama chromozomu X ya mwanaume itarutubisha yai la mwanamke lenye X tupu, basi mtoto atakayezaliwa atakuwa mwanamke.na endapo chromozomu Y ya mwanaume itarutubisha yai X la mwanamke atazaliwa mtoto wa kiume.Kwa kuwa chromozomu X ya mwanaume inaishi muda mrefu kuliko Y ukitaka kuzaa mtoto wa kike basi ujamiiane siku 2 au 3 kabla ya ovulation(ovulation ni kukomaa kwa yai ndani ya ovari ambalo litakuwa tayari kwa ajili ya kusubuli mbegu za kiume),lkn pia inashauriwa wanandoa wanapojamiiana basi mwanamke awe chini mwanaume juu kurahisisha spamu X kutunga mimba kwa urahisi,lakin pia njia ya kupata mtoto wa kiume ni kujamiiana masaa 12 baada ya ovulation.
Lakini sasa hivi kumekuwa na tatizo kubwa la watu kukosa kushika mimba wengine tangu alipoza zaa mtoto mmoja ndo basi na wengine hajapata kabisa hali hii imekuwa ikiongezeka kila siku kutokana na maisha tunayoishi,mazingira yetu na baadhi ya magonjwa ya uzazi napia low sperm count kwa wanaumejapo kuwa inawezekana kabisa tatizo hilo kuondoka na mtu akapata mtoto hata kama alikuwa amekata tamaa
NAMNA YA KUCHAGUA KUPATA MTOTO WAKIUME AU WAKIKE NAMNA YA KUCHAGUA KUPATA MTOTO WAKIUME AU WAKIKE Reviewed by Unknown on 13:46:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.