Q Chief Amrushia Dongo Swaiba wake TID...Adai Ana Matatizo ya Akili
Q Chief Amrushia Dongo Swaiba wake TID...Adai Ana Matatizo ya Akili
Reviewed by Unknown
on
22:53:00
Rating:
“Mimi naona kama watu wazima kila mtu angeangalia na kupambana na hali yake na kuangalia jinsi gani anaweza kurudi kwenye nafasi yake ya muziki, Kwa nini kila siku anizungumzie mimi nahisi kuna kitu special amekiona kwangu na hataki kuniambia hivyo atakuwa ana matatizo. TID ana matatizo ya kisaikolojia hivyo anatakiwa ajitathmini kiundani, kama mpaka waheshimiwa wameamua kumsaidia lazima aonyeshe muelekeo ili waendelee kuwa na imani na yeye", alisema Q Chillah.
Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ametangaza kwamba wananchi wote wanaofika katika vituo vya afya vya serikali wapimwe virusi vya Ukimwi kwa l...
Hakuna maoni: